Wewe umeoa /umeolewa yaani single mothers ndoa zimewashinda then mnatoa ushauriNdoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana moto tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Kuna mtu umeshuhudia analiwa mke wake nn.Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana moto tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia,usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa ipasavyo.....tuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
NB: Comments zote napokea.ila kumbukeni kurushiana mito mwisho uchumba.
Nani anayejisifu huyl anayetembea na mke wa mtu.Acha tu bro....afu jamaa anajisifu kabisa...eti wake za watu ndo michepuko yetu sikuhiz
Hiyo dada mme wake yupo wapi kwani mpaka wanafika huko.Yeah,ni bodaboda
Life imbalance ni natural ...inabidi kuyaacha mambo yalivyo kama maji yanavyoweza kufuata mkondo yenyewetuache uvivu maana house gal nae ana Mwili anachoka pia.....ila wanaume wajibikeni basi,wake zenu wanaomba kweli vocha Kwa vijana., mwishowe wanawapea.
Mwambie atembee na mafuta Kuna siku yatamsaidia,asidhani ni sifa kula wake za watuYupo,ni traffic lakini mkewe anapigwa miti na bdbd[emoji26]
Ukishakuwa navyo kwanini tena ukaombe nje? Hawana adabu tu haoItoshe kusema, kuomba omba nayo ni hulka ya mtu mwenyewe, yawezekana akawa anapewa hivyo vitu na bado anaomba
Mwambie uyo anaejisifu Kuna karmaAcha tu bro....afu jamaa anajisifu kabisa...eti wake za watu ndo michepuko yetu sikuhiz
Na kabla hajafa itamlaMwambie uyo anaejisifu Kuna karma