OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,423
- 104,680
Screen shot uweke hapa . Utopolo hawatakuamini
Sijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,Shirikisho la Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu IFFHS limetoa Orodha ya klabu 20 za Africa (CAF) ambazo Zina alama nyingi (Points) Kwa kipindi Cha Miezi 12.
Points hizo zimezingatia ubora wa Michuano ya Kimataifa na Ligi ya ndani kwa kila klabu huku ubora wa Ligi ya ndani ukipewa uzito zaidi.
Source: IFFHS
====
The highest ranked clubs in Africa as of 1 October 2022:
1. Al Ahly (Egypt) - 21 (+1)
2. Wydad Casablanca (Morocco) - 48 (+1)
3. Zamalek (Egypt) - 75 (+15)
4. Petro de Luanda (Angola) - 77 (+8)
5. Mamelodi Sundowns - 87 (+1)
6. CR Belouizdad (Algeria) - 90 (+8)
7. Pyramids (Egypt) - 98 (+1)
8. RSB Berkane (Morocco) - 99 (+14)
9. Raja Casablanca (Morocco) - 114 (-12)
10. Es Setif (Algeria) - 127 (-9)
11. Simba (Tanzania) - 131 (+23)
12. JS Saoura (Algeria) - 139 (+9)
13. Orlando Pirates (South Africa) - 143 (-10)
14. Esperance (Tunisia) - 169 (-2)
Hahahhaha hahaahah dooooooo muda mwingine ni bora kunyamaza uwaachie wenye timu yao tutambe. Kwani mnateseka mkiwa wapiiSijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,
Na dada yenu alivyojipenyeza hadi huko juu tutasikia mengi,
Kwa ubora gani alionao simba? Timu haina hata namba 9 ?.
Simba mnajua kuwa tumewazidi kwa kila kitu kuanzia kikosi hadi quality..
Ina maana kama nyie mmewekwa wa 11 ki mawazoni mwenu mjue kabisa hapo sisi ni wa 7...kwa sababu sisi tumewazidi kwa kila kitu na hilo mnalijua vizuri...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Point 0.5Sijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,
Na dada yenu alivyojipenyeza hadi huko juu tutasikia mengi,
Kwa ubora gani alionao simba? Timu haina hata namba 9 ?.
Simba mnajua kuwa tumewazidi kwa kila kitu kuanzia kikosi hadi quality..
Ina maana kama nyie mmewekwa wa 11 ki mawazoni mwenu mjue kabisa hapo sisi ni wa 7...kwa sababu sisi tumewazidi kwa kila kitu na hilo mnalijua vizuri...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Okweli ndio huo hao wanaotoa takwimu nadhani bado wanaifikiria ile simba ya kina Luis miquossone...kumbe hawajui simba ya sasa ya kumtegemea phiri tu,hata kocha mkuu hata strickers hakuna!Point 0.5