UPDATE
Wadau vitu vizuri ule na wenzio.
Katika pita pita zangu nimekutana na hii trick inayosaidia kuifanya Fire fox kuwa nyepesi hivyo si vibaya kushare na wengine.
Mchezo wenyewe upo hivi:-
1.Type
about:config katika address bar kama inavyoonyesha screen shoot
View attachment 86364
then click ok
View attachment 86365
2.shuka chini ya adress bar utaona search box na utype humo maneno haya
pipelining (check screen shoot hapo chini)
View attachment 86371
3.sasa Right-click katika maneno ya haya:-
i)
network.http.pipelining na uset iwe
true
ii)
network.http.proxy.pipelining set iwe
true
iii)
network.http.pipelining.maxrequests hapa badili value iwe
100
4.Right-click popote pale alafu select
new ---->
interger kitatokea kiboksi ambacho utaingiza maneno haya
nglayout.initialpaint.delay bonyeza OK alafu value weka
0 then bonyeza OK
View attachment 86370
5.fanya kama namba 4 ila kwenye kiboksi utaingiza maneno haya
content.notify.interval value weka
500000
6.Right-click tena alafu utaselect
New ------->
boolen kwenye kiboksi type
content.notify.ontimer alafu chagua
true
7.Rudia tena kama namba 4 ila kwenye kiboksi utatype
content.switch.threshold value weka
250000
8.Hatua ya mwisho Right-click useleck
new --------->
boolen kwenye kiboksi type
content.interrupt.parsing alafu chagua
false
Hadi hapo mambo yatakuwa fresh so Restart Browser yako uanze kutumia