Ifahamu Wing Web Vaccination kuwapa Chanjo ya Ndui)

Brayan_Jk

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
209
Reaction score
247
Your browser is not able to display this video.

Fowl Pox ni ugonjwa wa kuku unaosababishwa na virusi, unaosambazwa na mbu au kwa kugusana.

Dalili zake:

Vidonda kwenye uso, mdomo au midomo ya macho πŸ‘€

Kuku kuwa dhaifu na kushuka uzalishaji wa mayai πŸ₯š

Vifo hasa kwa vifaranga wadogo


Wing Web ndiyo njia bora ya kuchanja kuku dhidi ya Fowl Pox. Ni haraka, rahisi, na inalinda kundi lote dhidi ya hasara kubwa.

πŸ“² Tumia Fuga App ili ujue tarehe bora za chanjo na kufuatilia afya ya kuku wako kwa urahisi. Pakua Fuga App Leo Fuga - Apps on Google Play

πŸŽ₯ Video Credits: Ramify (YouTube)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…