Binadamu wanaolima wanalijua hilo tokea Mwanadamu alipoanza kilimo takriban miaka 7000 iliyopita,ni sawasawa na kuwaambia "giza likiingia laleni" hii ni Propaganga kwa ajili ya watu wajinga.Mfano wa proganda ni, “Mvua za Kwanza ni za kulima”
Kura ndio zinaamua nani awe Mwenyekiti, siyo sifa za mgombea. Wapiga kura kila mmoja ataamua apige kwa vigezo vyake, idadi itatuambia nani mshindi.Lissu ana record safi na inayojulikana na ambayo Iko well documented inavyoonyesha harakati zake za kiwatetea wanachi wanyonge kule migodini nyamongo Toka mwaka 1992 unlikely Hawa wanaojifanya leo ni wazalendo ambapo hatujui hata wametokea wapi mpaka leo ndio eti wazalendo dhidi ya lissu uongo mtupu.
Huko Zanzibar nasikia mwenye watumwa anarudi hivi karibuni kuangalia watumwa wamezaliana kiasi gani.Binadamu wanaolima wanalijua hilo tokea Mwanadamu alipoanza kilimo takriban miaka 7000 iliyopita,ni sawasawa na kuwaambia "giza likiingia laleni" hii ni Propaganga kwa ajili ya watu wajinga.
Propaganda nyingi za Nchi za Kikomunisti ni mbaya za kuwafanya wananchi wao wawe watumwa wa madikteta.
Badala ya kuwaalika hata ndugu zake na Hayati Jemadari Brother Ndugu Mhe. John Okello waje tuwafanyie Sherehe kubwa sana na kuwapa uraia wa Tanzania wa Heshima ndugu zetu huko visiwani watasema tunamkaribisha "Kafiri".Huko Zanzibar nasikia mwenye watumwa anarudi hivi karibuni kuangalia watumwa wamezaliana kiasi gani. Na sijui ataamua nini kuwaachia wawe huru au atawarudisha aliko wanunua?
Eti wao wanamuita Sultan.
Huyo hawamtaki wanamuona kama Jiwe, Wanasahau huyo ndiye aliyewasaidia kukata minyororo ya utumwa, labda mpaka leo wangekuwa bado wansafirishwa na mashua kupelekwa Oman, na sehemu zingine huko uarabuni kuosha vyombo, kuwapikia, kuwafulia, kuwasafishia na kuwafanyia kazi zingine.Badala ya kuwaalika hata ndugu zake na Hayati Jemadari Brother Ndugu Mhe. John Okello waje tuwafanyie Sherehe kubwa sana na kuwapa uraia wa Tanzania wa Heshima ndugu zetu huko visiwani watasema tunamkaribisha "Kafiri".
Ndio ujue Utumwa wa Mwarabu ule wa kutufunga minyororo umeisha uliobakia ni Utumwa wa fikra ambao inaonekana huenda tumeshindwa na Mwarabu.
Siku tukijikomboa na Utumwa wa kifikra tulioachiwa na Mwarabu huo ndio ukombozi wa kweli.
View attachment 3187695
Hayati John Okello ajengewe sanamu kubwa Zanzibar na Dar ili kukumbuka rasmi mchango wake.
Bahati mbaya tu alishindwa uraisLissu ni kiboko ya Madikteta.