U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 4,252 Reaction score 9,307 Aug 30, 2020 #1 MAJUKUMU • Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. • Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM. • Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama. • Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla. • Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM. • Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama.
MAJUKUMU • Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. • Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM. • Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama. • Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla. • Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM. • Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,456 Reaction score 111,930 Aug 30, 2020 #2 Samahani mkuu..... Yaani kwa cheo, mamlaka, shangingi V8, walinzi, mshahara, mafungu pamoja na posho anazo zipata ndio anamuonekanohuo..[emoji848][emoji848] sasa alikuaje hapo kabla, enzi akiwa mwana harakati na hakua na kotu..!!??
Samahani mkuu..... Yaani kwa cheo, mamlaka, shangingi V8, walinzi, mshahara, mafungu pamoja na posho anazo zipata ndio anamuonekanohuo..[emoji848][emoji848] sasa alikuaje hapo kabla, enzi akiwa mwana harakati na hakua na kotu..!!??
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,458 Reaction score 36,481 Aug 30, 2020 #3 CCM ni chama imara sana sababu ya msingi bora
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,533 Aug 30, 2020 #4 Katibu analipwa sh. ngapi
M Mafanikio 07 Member Joined Jun 18, 2019 Posts 57 Reaction score 37 Aug 30, 2020 #5 lakini nachokiona kwa Hamphley sio ueneza itikadi balini kusifia kiongozi wake.