Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

Apana mkuu ngono/ zinaaa ni ufukara!!!
Ukitaka kuwa na mafanikio huja chelewa achana navyo!!
Inakuwaje hadi vinafukarisha hivyo 'vitu'?
Tufafnulie kidogo mkuu, ili kama ni hatua tuchukue, kama siyo ya moja kwa moja basi kwa njia mbadala.
 
asilimia kubwa ya wazazi black wanataka kujinufaisha wenyewe

asilimia kubwa ya watoto black wanapenda kuhonga na kufuja mali
 
Maskini ya Mungu pale ilikuwa ni tegemeo la watz wengi kuhusiana na matibabu ya mifupa. Watu weusi ni balaa wala hatuna mipango ya muda mrefu
Unaweza kuta mzee hakufanya jitihada zozote kuweka succession kwenye hio hospital .

Wazazi wa kiafrika akisakusomesha hataki kukuona home anakutimua unaweza kuta ana miradi kibao hataki hata utie pua yako mule Wala hata kukupa darasa

Matokeo yake akifa Leo kila kitu kinapotea .

Wabadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Visukari na mapresha..ni ulajo mbaya hayo mabia..kahawa..chai..nyama..processd food..majibu yake ni uzeeni mtaanza kuhangaika na makansa..visukari..na mapresha...jitajidino kula vyakula vya kiasili zaidi.


#MaendeleoHayanaChama.
napenda sana vyakula vya asili lakn mjini havipatkani.....yaan hata vijjin kwnyw skunhz wanatumia mbolea za viwandani na madawa kila kona. yan sku hz n rahs kupata kadi ya ccm kuliko kupata chakula cha asili.
 
Ah wapi!!,Hapo ni sawa na TZ kuinunua South Africa.
unahis haiwezekan??
kama hamonize alikuwa machinga muuza maji barabaran lakn leo hii anatembelea landvruiser V8, na bado mwakan anaingia mjengoni dodoma unahs nn kinashindikana hapa chn ya jua?
 
asilimia kubwa ya wazazi black wanataka kujinufaisha wenyewe

asilimia kubwa ya watoto black wanapenda kuhonga na kufuja mali
Ngozi nyeusi ilishalaaniwa. Tunaamini n vzuri kuwahusisha watoto kwenye miradi ili badae waje waiendeleze lkn tofauti ya hawa wahindi na waarabu we jaribu kumuweka mwanao wa kike wa miaka km 18 hv kwenye duka lako utawaona hata wanaume ambao hujawahi kiwaona kwenye mtaa wenu. Ngono tatzo
 
Maryam Said Salim Bakhresa, naye anasimamia biashara ipi?

Mariam hajapewa chochote kwa kua ni mtoto wa kike anapewa msaada na kaka zake hapo ndio nashindwa kuwaelewa waarab

Japo mume wake ni pilot huko Kenya kwa hivyo maisha sio mabaya pia
 
Back
Top Bottom