Ifahamu Bachelor's Degree in Pharmacy

Vipi kuhusu coz ilivyosimama kibongobongo hasa kuhusu ajira na Maslahi????
 

Una Muda gani kazini?
 

Ahsante mkuu ngoja nikomae na kitabu... Vipi kuhusu kazi za kuajiriwa zimekaaje??
 

Ia nina wasiwasi kama chemist shop/duka za dawa zote nchini zinamilikiwa na wamiliki wenye hicho cheti.
 
Nchi zilizoendelea zimeingia katika Doctor of Pharmacy(PharmD),hii ipo clinically oriented.Mlio katika mfumo fanyeni mchakato bongo tutoke huko katika Bpharm.
NB:Ni carrier nzuri Pharmacy.
 
Nchi zilizoendelea zimeingia katika Doctor of Pharmacy(PharmD),hii ipo clinically oriented.Mlio katika mfumo fanyeni mchakato bongo tutoke huko katika Bpharm.
NB:Ni carrier nzuri Pharmacy.

Kuna tofauti gani kati ya bachelor of pharmacy and doctor of pharmacy??
 
Bpharm--->Imejikita haswa katika Research ->new drugs discovery,Quality control and assurances,drugs selling etc..
PharmD-->Kuna mambo yanaongezwa ili Mfamasia awe clinically oriented,so hii ni better zaidi kama unahitaji kufanya kazi ktk hospitals kubwa--->Dispensing of drugs,consultation etc...halafu unaitwa Dr.
 

Mimi ni mtanzania ntaipataje? Au hadi abroad?
 
Kama kasoma physics O'level anaweza kusoma

Kuna mdogo wangu kasoma CBG ngoja nimshauri afanye aplication ya hii Pharmacy..ila nilikuwa nasikia CBG haiwahusu kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…