Chama dola au si chama dola? Nina maana yangu mkuu, na ninajua nilichoandika hapo. Hilo lisikupe shida. Nitakapoweka mabandiko wewe utatoa maoni yako, lakini kitakachojadiliwa hapo ninakijua na nina uhakika nacho
Hapana, mimi siko huko mkuu. Sina chama chochote, bali ni Mtanganyika tu wa kawaida na mpenda mabadiliko. Watu wote wanaozuia mabadiliko haya ambayo Watanzania wameyahitaji muda mrefu tutamuumbua. Duruni ni uwazi na ukweli tu, unafiki kwetu mwiko. Tutasema kweli daima kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa letu; wanafiki na wasaliti wa mabadiliko haya lazima tuwaumbue!
Kwa hiyo mnakitangaza chama kwa whatsapp.Kuna njia nyingi za kuwafikishia watu ujumbe mkuu. Hata vijijini habari zitafika tu. Haya mabandiko hayawekwi hapa JF pekee bali yanawekwa kwenye mitandao mingi tu ya kijamii. Mabandiko mengine yatatumwa kwa marafiki zangu waliotapakaa vijijini nchi nzima kupitia mtandao wa WhatsApp, nawo watasambaza kwa watu wengine vijijini. Teknolojia iko juu sana mkuu siku hizi, mpaka vijijini kuna mitandao ya kijamii!
Kwa hiyo, huo ushauri wako ni wa kututoa watu wa duru kwenye malengo ili tusianike uozo kwa maslahi mapana ya taifa letu. Hatukubali, hatukubali, hatukubali; [Lazima Umma wa Watanzania ushinde vita hii]
Then you have communication issues ,rigid ,sefle-centered .
In your projections how man people will come back to review your new post?The right move was to acknowledge the ambiguity and explain what you meant by that .....
ACT #Failure to launch
nyie ndo wanafki na wadidimizani wa ndoto za kuhitaji mabadiliko ya kiiutawala katika nchi hii walafi na wapenda vyeo hamna jpy
Kwa hiyo mnakitangaza chama kwa whatsapp.
Na wewe ndio umekuwa Afisa Habari na Propaganda wa Chama badala ya Mwl Kaijage na Dotto Rangimoto?
Yaani na wewe unafanya ussalitti ndani ya ACT kama Ayyattollah Zitto alivyofanya Chadema? OK, twangoja.Hapana mkuu. Hawo watu bado ndio maafisa habari wa ACT-TANZANIA / WAZALENDO. Japo habari zenye nazitoa jikoni. Mimi kazi yangu ni kuanika uozo na unafiki wa vyama vinavyoundwa ili kuzuia mabadiliko ya kiiutawala ambayo Watanzania wameyasubiri kwa muda mrefu!
ayaaatollah al mujadid sheikh Zitto
Hapana mkuu. Hawo watu bado ndio maafisa habari wa ACT-TANZANIA / WAZALENDO. Japo habari zenye nazitoa jikoni. Mimi kazi yangu ni kuanika uozo na unafiki wa vyama vinavyoundwa ili kuzuia mabadiliko ya kiiutawala ambayo Watanzania wameyasubiri kwa muda mrefu!
Tulia dawa iingie vizuriOKAY, hebu tuambie uhozo wa CHADEMA ,CUF na NCCR kwanza kabla ya kuzungumzia wa ACT. BTW kipi ambacho hatujasikia kuhusu hiki chama kama sio.unafiki tu na uzandiki. haya leteni zile email zenu na namba zenu zile feki period.
Bado ipo mkuu, ila iko taabani kifedha. Hali ni mbaya mkuu. Juzi kati tu hapa kulikuwa na kikao kujadili hali ya ukata inayokikumba hicho chama kwa sasa. Wakubwa hawajatoa fedha bado