Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
Nimekuwa kwenye kigagaziko kwa takribani wiki nzima baada ya kuambiwa hiyo kauli na ndugu yangu.
Ilikuwa hivi,
Wiki iliyopita nilimpigia simu ndugu(rafiki) yangu aitwaye @Seidou aliyepo pale Ligula "B" Mtwara,
Nikamwambia
"Ndugu nina shida,
Kuna majukumu yananisonga Sana kwa sasa,
Hivyo naomba uniazime hela Tsh. laki 2, nitakurejeshea baada ya wiki 3."
Kwa jinsi tumavyoaminiana haikuwa ngumu kunielewa,
Akanijibu
"I'VE GOT YA SENETA _WA_MTWIZ."
_________
Kilichonishangaza na kunipa kigagaziko cha fikra ni pale ambapo kanitumia ile hela,
Kisha katuma na ujumbe wa maandishi,
"IF YOU WANT EXTRA STRESS, BE A TEACHER."
Nimempigia na kumtumia meseji mara kadhaa kutaka kutambua Lengo hasa la ujumbe wake,
hajapokea wala kujibu jumbe.
------
WAKUU,
NAJIULIZA,
KWANI KUKOPA HELA NI KOSA?
KWANI WANGAPI SIO WALIMU NA WANAKOPA?
KAMA HAKUWA NA NIA YA KUKOPESHA KWA NINI ASIKATAE KIUTU UZIMA-
KULIKO KUHUSISHA FANI/TAALUMA YA MTU?