View attachment 847170
Rais mstaafu wa awamu ya nne kwenye picha akipanda Ndege ya Rais kuelekea Mjini Harare , Zimbabwe
kumuwakilisha Rais John pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Taifa hilo.
Ama kwa hakika Ndege zinampendezea huyu Bwana.
Mungu aendelee kukulinda Mzee wetu.