If you have a glass house dont throw stones

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,692
Haya Makonda toka hadharani umwage vyeti ili kuondoa utata, tabia ya kuwa mkali kila unavyoambiwa inaonyesha labda kuna ukweli wowote wa tuhuma zinazokuandama.

Hiyo aura of impunity unayoitegemea muda wowote inaweza kutoweka sasa ikitoweka utakuwa mgeni wa nani?

Huyo Le, Mutuz anayekupigia debe wote ni wale wale, nakushauri mwaga vitu hadharani ili wenye kuumbuka waumbuke vinginevyo utamtia dosari hata mkulu ambaye kaonyesha kuwa anakuamini sana

kuna methali moja ya kizungu inasema hivi " If you have a glass house don't throw stones" ikiwa inamaana kama wewe una nyumba ya vioo usitupie watu mawe maana wakirudishia nyumba yako vioo vitavunjika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom