Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,733
- 10,929
Mkuu hata mimi nina vimeo lakin linapokuja suala la toba ya kweli (sio ile ya kisanii unajua nitatubu tena kesho) maandiko yako wazi sanaa hicho unachokifanya sio toba mkuu ni dhihaka tu.Trust me sina haja ya kushusha vifungu vya maandiko BUT am not JUDGING U as well.Tuwekane wazi tuYes Mungu wetu ni wa huruma sana.asante kwa comment malaika Gabriel
Kwa ufupi tu ni kwamba hata kama napiga game Mungu akazungumza nami kwa swala la kusali nakatisha game nasali.sijui siku wala saa ya wokovu wangu sijui tumeelewana...
Binadamu ni kiumbe dhaifu sana anaweza kuwa mshindi sehemu moja sehemu nyingine akawa dhaifu..
Dhambi tumeumbiwa ndugu yangu cha msingi ni Toba tu na Huruma ya Mungu