If you can't afford her, then upgrade

That is Correct.

Hao unaowaongelea wewe wanahesabika.

Mapenzi ya kwenye TV i meant like wale wanaopendana unconditionally tunaowaona kwa TV regardless of financial status et al. Tehe

Would u do the same for an average man ?? (Do u practice what u preach ??)
 


I would, kama ana vigezo. It's not something new to me. Been there, done that.
 
Mbona nimesema kabisa kuwa si-underestimate umuhimu wa pesa kwenye mahusiano, na ku-date mtu kisa maskini sijui kama ni sifa. I know kwamba pesa ina role kubwa but sio kwamba mahusiano yote yataevolve around hela. Na sio kwamba ukiwa na hela ndo utampata kila mwanamke unayemtaka. Unfortunately sio wanawake wote ni items, kwamba ukiwa na cents kadhaa tu unamnunua, Hell No. Afu Mbona watu kibao wana hela na wanazinguliwa na mapenzi daily!!!!!. Anyway ni mentality nzuri kudhani kuwa ukiwa tu na hela utaafford mwanamke yeyote as inawafanya mu-hustle zaidi. We appreciate your hustles Coz mwisho wa siku mtu ame-add value kwenye maisha yake
 
I would, kama ana vigezo. It's not something new to me. Been there, done that.
If u dnt mind unaweza share PM hvyo vigezo vyako. Perhaps i might learn something new kwa kweli.
 
Reactions: kui
Haha!, gaaal!, you just put a huge smile on ma face. This's some heavy matirio
You just told a negro straight up!...
Aww thanks doll
Sasa muulize ye hapendi kupewa hela na mpenzi wake ?? Tehe
Aaah unadhani nikipewa hela ntanuna? Nachekeleaje sasa, Ila siwezi pia kumlamba mtu ili anipe hela zake kama hajisikii. But luckily, my financial life doesn't depend on any man (except my pops lol),.....I'm not kept, I do the keeping
 
The way you put it, Hela is not that big of an issue to everybody.
She's probably past this level of women you're talkin' about here.
You guys are not fair sometimes when you sum us up. I don't mean any harm but try and figure this out.
Hahaha I'm past that level darlin
 
Reactions: kui
If u dnt mind unaweza share PM hvyo vigezo vyako. Perhaps i might learn something new kwa kweli.


On a serious note tho, I respect you hustling for the ladies instead of relaxing and wait for them to bust their behinds for you. Too sad we have those kind of men these dayz.
 


Hapo kwa red chacha!, damn gurrl!, sikuwezi walah!
Lakini tuseme ukweli kumbembeleza mtu na kitu chake, hela for this case, takes a lot. And this's when they can take advantage of us kama hivi sasa Senior Boss anakwambia all a brother need is money to woo us. Yaani tumekuwa kama bidhaa wanajichagulia kiwango watakavyo, according to what they can afford.
 
On a serious note tho, I respect you hustling for the ladies instead of relaxing and wait for them to bust their behinds for you. Too sad we have those kind of men these dayz.
First of all I aint desperate for love or sex.

Kulelewa na kukuzwa na wazee wa kichagga maisha ya kawaida though wazee wanavyo vya kutosha kumenifundisha mengi sanaaa. Kumenifundisha nidhamu ya hela na kuwa na courage ya kutafuta vyangu despite what my parents have and that one must be strong enough to overcome life challenges on his own.

I aint hustling just for any lady lol......its for someone special nd dear to you ili penzi li komae na kuwa tamu lazma hela uwe nayo otherwise mtaishia kutumiana texts za " I love you " & " I love you too ". Siku moja moja mnakula tour national parks, zanzibar, bagamoyo spending a few bucks et al. Hata kama mmependana genuinely lakini ndio vile u gotta live it up nd appreciate life.

Siku mnajitia uchizi mnaenda hata carribbean, barbados nini
.....nikiwa US & UK wapo madogo kufanya such things ilikua ni kawaida sanaa ila its after hard work.

Sasa sio mna nyegeka mshazoea kujitia Tupa Tupa Guest House day in day out man. WTF.


That is why i say a nigga gotta grind his butt OFF.
 
That is Correct.

Thank You.
 
Itabidi uni keep aisee. Daaaah
 
I would, kama ana vigezo. It's not something new to me. Been there, done that.
It happens a lot. Kuna muda unakutana na mtu ana hela tu ya kawaida + vigezo anavyo, but unaona kabisa mmh huu ni mgodi unatema anytime. Mtu ana promising future ileee, unamuachaje kwa mfano
Na hapo ndo wanaume wengi wanapofail. Anakuwa Na mwanamke, anamtreat anyhow coz anajua utamganda tu kisa vijicent vyake au ukiondoka he can simply replace with you with another girl of his choice. Aisee, hela nimenyimwa ila no man can ever treat me as one of his items chaaaaa
 
Itabidi uni keep aisee. Daaaah


Eti aku keep!, wewe bwana!

Haha I just keep myself bana, nina hela sasa za kukukeep?


Girl unajua kuna waume wa hivi, it's so weird yaani. Mwanaume kutafuta bwana. Hata sisi ni vizuri kutafuta lakini huwa haipendezi wanaume kukaa tu. This's where I applaud Senior Boss, it's not right what he's doing to women but at least women make him hustle...lol!
 
Paulo Sergio De Souz na Benny bado wanambwela?!!! I'm coming to get you! Yes I'm serious.....
 
I thot like u meant ur well off. Lmao


Nd i thot i wudn't incur much to have ur love.
Hahaha kwani anaye-afford one meal kwa kuuza maji maybe si anajikeep mwenyewe au? What I meant is "I live within my means", so kuwe na mbabes kusiwepo na mbabes, me maisha yangu yanaendelea tu Alhamdulillah

You thought you don't have to incur a lot to have me? Kwamba ujikalishe tu ndani bila sababu tulishane michicha chukuchuku weee. Ingawa ya Mungu mengi, kuna watu wana-hustle ila hawatoki, kwa huyu aah I'm gonna be his ride or die chick, Mungu ataziona tu hustles zake siku moja
 
The way you put it, Hela is not that big of an issue to everybody.
She's probably past this level of women you're talkin' about here.
You guys are not fair sometimes when you sum us up. I don't mean any harm but try and figure this out.
Duh sikukosea kukutumia kama 'benchmark' kwenye ile thread! You are smart,exposed and......wow!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…