point zero
Member
- Feb 23, 2019
- 32
- 34
Tabia zenu watanzania tunazijua mnajifanya wajuaji sana ndio maana hata mtu akitaka kujaribu kufanya kitu anaogopa kwasababu mnaangalia wapi kakosea ili mmkosoe. Hii brokeni mimi inanisaidia sana ukitaka kunirekebisha nirekebishe ila kwa adabuToo=to
We w'll = We'll
Dalasa= darasa.
Ni kweli haujafika darasa la saba. Nimekurekebisha na wewe ukitaka lia.