if they get divorced

Mama blue evy naona katoka zake shambni na mzee katoka zake kuvua samaki..
 
What's the catch? Can't comment anything!
 
Mkuu hekimatele nilimaanisha photo shop, hiyo couple hawawezi katika maisha yao kupiga picha kwenye mazingira hayo. Unakumbuka Michael Jackson hakushuka DIA wakati ule akidai ni pachafu tena pananuka
 
Last edited by a moderator:
Ndo picha za namna gani hizo mkuu?
Photo Shop au Photo Duka?
Au duka ndo genge?
Mhh ina maana haujui maana ya genge? genge ni sehemu wanayouza bidhaa ndogo ndogo kama vitunguu, nyanya, pilipili, nk yaani unaweza ukanunua hata kitunguu kimoja tu ili mradi pesa yako, sasa damian ndio ana maana picha iliyopostiwa ni sawa na genge ana maana ni photo shop
 

We wajua maana ya Sharubati?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…