kenyans stop pretending and yet you know not...a lot of brags lakn hamna lolote.United Republic of Tz ita-do?
Get this, Tz is like our kid sister; we therefore won't molest u.
Hebu nenda ukaone yanayoendelea kule NyasaHehehe mpaka sasa nilitegemea huu uzi kufikia kwenye kurasa ya kumi, nilitegemea watu watachemshana humu hadi pachimbike.
Wapemba hoyee!!!!
Lakini huyu Msomali awache zake, asione ugomvi wetu na Alshabaab atuchukulie dhaifu, afahamu tunakua makini sana tunapopiganaa na wale jamaa maana hawana kambi maalum, wamejificha ndani ya hao hao Wasomali. Mchana unamwona mtu anachunga mbuzi huku amevaa kanzu, kumbe usiku ni mpiganaji. Sasa ikatokea vita baina ya Somalia na Kenya, hivyo vitakua rahisi sana maana adui atakua ni taifa na majeshi yake.
Tutaukalia huo mpaka kimabavu, dunia hii kuna kesi kama hizi nyingi tu. Hata Tanzania huwa wanazinguliwa sana na Malawi, kwamba wao waishie tu kwenye fukwe. Kwanza yaani Wamalawi sio fair aisei, wana dharau sana likija suala la hilo ziwa, kwamba mpaka wao na Msumbiji upo pasu, lakini kwa Tanzania ni thubutu...unaishia kwenye fukwe.
Hebu nenda ukaone yanayoendelea kule Nyasa
Halafu hao wasomali mbona wanawapelekesha puta nadhani tuwape vikosi viwili vya jwtz vikawasaidie msisumbuliwe tena
The problem between Somalia and Kenya is very different from what you want to portray here! Pemba is a defined island in Zanzibar revolutionary govt, however much you may wish to stretch the borders you cannot stretch your territory into a defined sovereign state just because you feel it is convenient/ or it is on your favour. resemblance to this is Tanzania vs Malawi border dispute in lake nyasa!
The Kenya vs. Somalia case has been ongoing for some time with preliminary judgment expected today. If the court rules that the sea border should follow the land border then it goes without saying that it should happen on both land borders which means that Kenya should start claims on Pemba
The problem between Somalia and Kenya is very different from what you want to portray here! Pemba is a defined island in Zanzibar revolutionary govt, however much you may wish to stretch the borders you cannot stretch your territory into a defined sovereign state just because you feel it is convenient/ or it is on your favour. resemblance to this is Tanzania vs Malawi border dispute in lake nyasa!
however for the really/tough border dispute: you just wait for muungano between Tanganyika and Zanzibar to collapse.
sio Mombasa ni sehemu ya Tanzania?Tungoje hadi lini? Sisi kama Kenya hatuna muda wa kufanya vitu vya kijinga!!!
Hapa ni wazi tu kwamba, kulingana na sheria za kimataifa, Pemba lazima iwe kisiwa cha Kenya!!!
Hapa hata hamna la kupinga
Hapo mlipo hamuwezi hata kuishikilia Mombasa, halafu leo unakuja kusema ya Pemba. Round 1 ya ICJ mmeshidwa, Wasomali wakichukuwa bahari yao Kenya mnabaki land lockedTungoje hadi lini? Sisi kama Kenya hatuna muda wa kufanya vitu vya kijinga!!!
Hapa ni wazi tu kwamba, kulingana na sheria za kimataifa, Pemba lazima iwe kisiwa cha Kenya!!!
Hapa hata hamna la kupinga
Hapo mlipo hamuwezi hata kuishikilia Mombasa, halafu leo unakuja kusema ya Pemba. Round 1 ya ICJ mmeshidwa, Wasomali wakichukuwa bahari yao Kenya mnabaki land locked
Watu wenu wanasema mmeshidwa round 1.Upuzi tu!! ICJ haijatoa hukum!!
Sijui mnajishaua nini??
Unaona kama ananyonywa vile eti kisa ni shabikihapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi
Yes Pemba people are already more Kenyan than Tanzanian, just a bit of teaching them a little English and we are done!!
naona hang over ya Kenya kuukosa uenyekiti AU inawasumbua! Chukueni Migingo kwanza toka Uganda! washenzi wahedi nyie!Geza umeanza kuwa mwehu!!!
Leo hii hapa JF tulikuwa tunajadili Wapemba 6,000 wanaoishi Lungalunga, pwani ya Kenya!!!!
Ina maana kwamba hata watu wapemba wenyewe hawana imani na jumuiya hiyo yenu.
Itakuwa jambo la busara sana kuainisha na kuwaleta nyumbani.
Pemba ni ya Kenya, kwa kweli
Really...United Republic of Tz ita-do?
Get this, Tz is like our kid sister; we therefore won't molest u.
Maji nani awape labda msaada wa chakula tutawapa kwanza Mombasa ni ya Tanzania hivyo Kenya akuna bahariIko hivi maji chukueni kisiwa tuachieni.... Hata wakitumia ruler kanyoosha mstaari... Ndio wachukue Pemba....
Hadithi za Abunuasi
'Asili ya kikenya'
Hapo sijakuelewa boss.
Follow migration patterns za wabantu mlivoingia Kenya utajua kwamba wakenya wana asili ya kitanzania na sio the other way around. Kenya has never been the source of anything. Bantus from Congo came in from the South (Tanzania).