Sio rahisi. Muundo, sura na tabia itategemea mchango wa genetic materials toka kwa baba na mama. Katika genetic material transfer kuna kitu kinaitwa dominant na recessive genes.
Ingawa wote ni identical twins, dominant au recessive genes zinaweza kutumika na kufanya twins kutofanana.