IELTS test unaweza kufanya katika vituo vya British Council Dar na wana tawi Arusha nadhani. Gharama si chini ya Laki 3 na nusu maana inategemea na kupanda au kushuka kwa dola. Pasport nenda ofisi za uhamiaji karibu na ulipo na gharama ni 50,000/= ila ukiona kuna mizunguko ya kuipata akili kumkichwa......