sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Dec 22, 2013 #21 Fadhili Paulo said: Mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi la swali langu Click to expand... Ukiona hivyo swali limekaa vibaya..
Fadhili Paulo said: Mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi la swali langu Click to expand... Ukiona hivyo swali limekaa vibaya..
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,270 Dec 22, 2013 #22 Fadhili Paulo said: Click to expand... Hiyo inaitwa jionee tofauti au kwa kiinglish eksipiriensi ze diferensi.
Fadhili Paulo said: Click to expand... Hiyo inaitwa jionee tofauti au kwa kiinglish eksipiriensi ze diferensi.
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Dec 23, 2013 Thread starter #23 sister said: Ukiona hivyo swali limekaa vibaya.. Click to expand... Kuna mtu kaniwekea kwenye wall yangu ya facebook sasa mpaka sasa bado sielewi alitaka kumaanisha nini kwangu
sister said: Ukiona hivyo swali limekaa vibaya.. Click to expand... Kuna mtu kaniwekea kwenye wall yangu ya facebook sasa mpaka sasa bado sielewi alitaka kumaanisha nini kwangu
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Dec 23, 2013 #24 Fadhili Paulo said: Kuna mtu kaniwekea kwenye wall yangu ya facebook sasa mpaka sasa bado sielewi alitaka kumaanisha nini kwangu Click to expand... Inabidi umuulize labda anajua maana yake..
Fadhili Paulo said: Kuna mtu kaniwekea kwenye wall yangu ya facebook sasa mpaka sasa bado sielewi alitaka kumaanisha nini kwangu Click to expand... Inabidi umuulize labda anajua maana yake..
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Dec 23, 2013 Thread starter #25 sister said: Inabidi umuulize labda anajua maana yake.. Click to expand... Sawa mkuu, lakini kweli humu hakuna hata mmoja anayeweza kunifumbulia nini ujumbe wa hii picha kweli au mnakwepa maksudi tu?
sister said: Inabidi umuulize labda anajua maana yake.. Click to expand... Sawa mkuu, lakini kweli humu hakuna hata mmoja anayeweza kunifumbulia nini ujumbe wa hii picha kweli au mnakwepa maksudi tu?
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Dec 23, 2013 #26 Hahaaa Fadhili Paulo tunakwepaje sasa..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Dec 23, 2013 Thread starter #27 sister said: Hahaaa Fadhili Paulo tunakwepaje sasa..... Click to expand... Kama hivyo hadi sasa hamtaki kuniambia nini ujumbe wa hii picha
sister said: Hahaaa Fadhili Paulo tunakwepaje sasa..... Click to expand... Kama hivyo hadi sasa hamtaki kuniambia nini ujumbe wa hii picha
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Dec 23, 2013 #28 Sasa kama hatujui tukuelezee nini Fadhili Paulo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016