IEBC has enlisted Koreans to rig election, CORD leaders claim

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kipindi cha Uchaguzi nchini mwetu Serikali yetu iliwakamata raia wa kigeni ktk nchi mbalimbali ikiwemo Korea, Kenya, Ghana na kwingineko ambao walikuwa wameajiriwa na ukawa chini ya fisadi Lowasa &Co. kwenye kitengo chao cha IT ambao wao (ukawa, Lowasa & Co.) walisema walikuwa wanakusanya matokeo lkn vyombo vyetu vya Usalama viliwakamata kwa kuwa walitumika ku,,hack" matokeo ya uchaguzi ya Tume yetu jambo ambalo fisadi Lowasa na ukawa walilipinga kwa nguvu zote!

Sasa kama tusemavyo Waswahili Mungu siyo Athumani, nchi ya Kenya inakaribia kuingia kwenye uchaguzi hapo 2017 na tayari huko wanasema kwamba Wakorea hao kama vile walivyotaka kufanya kwa ukawa wanatumika ili kuingilia uhesabuji wa kura na kuiba matokeo!!

Ndiyo maana siku zote ninaamini kwamba ukawa hawakufikisha kura miloni 6 hapa Tanzania, hilo siyo kweli, ni kwamba waliiiba kura kwa kuwatumia Wakorea na kwamba tu vyombo vyetu vya usalama viliwashtukia wakati wakiwa wameshaiba tayari na ndivyo walivyofanya Zanzibar na ndiyo maana kulikuwa na ukaribu sana kati ya Lowasa na Maalimu Seif sababu iliyopelekea Tume ya Zanzibar kufuta matokeo kwa maana yalishaibiwa na nina uhakika Ushahidi upo na ndiyo maana malalamiko ya ukawa kwenye ngazi za Kimataifa hayakutiliwa maanani kwani Jumuiya ya Kimataifa imewashtukia kwamba wao (fisadi Lowasa na ukawa) ndiyo walioiba matokeo na hivyo nchi yetu haijawekewa vikwazo vyovyote vile!

Habari ya Wakorea na Kenya khs kuiba matokeao hii hapa chini!

=====================

The Opposition yesterday accused election chiefs of working with a Korean institution to rig next year’s polls.

CORD co-principal Kalonzo Musyoka claimed that a commissioner with the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) had visited Korea to seek help on programming the Biometric Voting Registers (BVRs) in readiness for election tampering. He spoke during their second public demonstration in Nairobi demanding the removal of IEBC commissioners before next year’s vote. Other protests were held in the Opposition strongholds of Migori, Kisumu, Nyamira and Kwale.

CORD leaders stage demonstration outside the IEBC offices in Nairobi. The Opposition yesterday accused election chiefs of working with a Korean institution to rig next year’s polls.

“When you hear Deputy President William Ruto saying that Jubilee will win the elections, it is because they know they have stolen...We cannot have rigged elections and believe that Kenya will be the same again,” said Kalonzo.

Kalonzo warned that the country would degenerate into chaos if the election was not free and fair.

CORD leader Raila Odinga also charged that Jubilee leaders were behind the electoral commissioner’s defiance against their demands.

“It is Jubilee that is pushing IEBC to stay, but we cannot just watch someone sharpen a knife in readiness for our slaughter. We will continue with our protests until IEBC Chairman Isaak Hassan and his team go home,” said Raila, while scoffing at a statement made by Hassan last week that IEBC could bar CORD from the elections.

“Hassan is saying that they will bar us from contesting for elections. What kind of election will that be? IEBC is deaf, but we will push them out,” he vowed.

Legal action

But an electoral commissioner, Mr Thomas Letangule, told the Opposition to stop peddling falsehoods.

He also defended the commission against claims that it was in Jubilee’s pocket.

“We don’t talk with Jubilee. Jubilee has never even contacted us. Do we have to wait for Jubilee to tell us what we need to do and what our rights are under the Constitution?” he asked.

The Opposition is pushing for the exit of the commissioners on grounds that they cannot be trusted to hold a free and fair election. The coalition has vowed to organise protests every Monday until the commissioners give way. They accuse them of rigging the 2013 elections in favour of the ruling coalition.

Unlike last week, the CORD principals did not attempt to forcefully gain access to the commission’s offices. After addressing the crowd, they left but their supporters led by Orange Democratic Movement (ODM) Chairman John Mbadi and the party’s Director of Elections, Junet Mohammed attempted to breach the police cordon, but were thwarted metres to the entrance.

At this point, police were forced to disperse the rowdy crowd that hurled stones at motorists and innocent by-standers. A number of people, including journalists were injured in the fracas.

Coalition for Reform and Democracy(CORD) supporters pushing for the disbandment of Independent Electoral and Boundaries Commission(IEBC), demonstrate outside the commission's offices in Nairobi on 9/05/2016.

It was not immediately clear whether IEBC commissioners were in their offices as the protests went on outside

A number of university students watching the drama from across the street were also affected by teargas. Wetangula reiterated the coalition’s threat that it will not participate in the elections unless the commissioners leave office.

“There will be no elections without reforms. We have had Jubilee telling us that elections will be free and fair. How can our competitors convince us that we go to an election which is already rigged?” said Wetangula.

But speaking to The Standard, IEBC Chief Executive Officer Ezra Chiloba said preparations for 2017 elections will proceed despite the political noise.

“I don’t want to speak on what is going on or on behalf of the commissioners. All I can say is that we are going ahead with our preparations and assure Kenyans that we are doing our work diligently,” said Chiloba.

Dismissed claims

Leader of Majority in the National Assembly Aden Duale dismissed claims that CORD that IEBC is working at the behest of the ruling coalition. He wondered why CORD has insisted on street protests to remove the commissioners, yet there is a constitutional procedure.

IEBC has enlisted Koreans to rig election, CORD leaders claim
 
Lowassa anawapa shida sana vijana wa Lumumba,haiwezi kupita siku hamjamtaja dah! hii ajabu kweli,nafikiri upeo wenu ndipo umefikia,mnashindwa kujadili sukari,lugumi,songas na madudu kibao mnamjadili Lowassa!!!.
 
Korea kuna mkorea mmoja tu ama vip!, Habari yako haina mashiko na sijaona sababu ya kumuhusisha Lowassa
Dhambi ya kuiba na kisingizia watu wengine inawatesa ndo maana mnajistukia kila saa na kutafuta kila njia ya kujitoa kitu ambacho hakiwezekan
 
Barbarosa mambo ya uchaguzi ni mazito na magumu sana kwako kuyaelezea, wahusika wakuu wenyewe ukiwauliza mchanganuo wa idadi ya salio jinsi kisha, waliopiga kura, kura halali na zilizoharibika hakuna anaekupa jibu lenye tija.

Huko tulishaondoka na kwa katika yetu, hakuna kinachoweza kufanyika kwa sasa. Sasa hivi tunasubiria utekelezaji wa Sera na ahadi tulizoahidiwa, viwanda ukuaji wa uchumi, elimu bure n.k. hizo ndio habari tunazotaka kuzisikia. Sasa kama walikamatwa si tuna sheria?
 
Kalieni Lowasa tuu wakati hata Dr Mihogo ameamua kuwashauri kuwa sukari yaweza kuangusha dola. Mmekalia Lowassa huku UDA hiyooo inaondoka na kurudi kwa wenyewe. Ndani ya miezi 6 mambo yanewashinda mnaimba majipu mnayotumbuana wenyewe kila siku, mnazani mwanakijiji wa Namanyere ataweka usaha wa majipu ili any we chai? Amkeni acheni kuvuta shuka ili mumuote Lowasa kwenye ndoto
 
Korea kuna mkorea mmoja tu ama vip!, Habari yako haina mashiko na sijaona sababu ya kumuhusisha Lowassa
Dhambi ya kuiba na kisingizia watu wengine inawatesa ndo maana mnajistukia kila saa na kutafuta kila njia ya kujitoa kitu ambacho hakiwezekan
Those are kicks of dying horses (ODM group), those organizing demos should be sent to court to face justice, the same people caused the 2007/2008 havoc however Ocampo favored them by not taking them to ICC and instead wrong innocent RutoUhuro were victimized!
 
Lowassa anawapa shida sana vijana wa Lumumba,haiwezi kupita siku hamjamtaja dah! hii ajabu kweli,nafikiri upeo wenu ndipo umefikia,mnashindwa kujadili sukari,lugumi,songas na madudu kibao mnamjadili Lowassa!!!.
Rais Magufuli anapata shida kubwa sana katika kutawala kwani majangili, watawala wala rushwa, wale wenye ku create wafanyakazi hewa wote wamo chama tawala, as an example angalia Tegeta-escrow sscandal, Lugumi scandal, uuzaji wa plot za police kama Oysterbay, the created free passages at airports for instance Dsm airport where a lady manager shamelessly lied to the President!!!!!, dsm harbour scandals and many more. Richmond scandal was NOT committed by the retired premier Lowassa else they would have sent to court to face justice! Magufuli and Lowassa are God fearing leaders, history will tell.
 
Back
Top Bottom