Hakuna institute yenye utendaji wa kiwaki kama hapo ids.
Wanafanya kazi kilocal sana na kwa taratibu mno bila kujali muda wa wengine.
Miaka 6 iliyopita hawakuwa na mlolongo kiasi hicho japo utendaji wao ulikuwa huo wa konyonga.
BTW
Njooni niwapatie msaada wa kitaalamu kwenye dissertation zenu ili mmalize kwa wakati kwa ada nafuu kabisa.