Hakuma mtumishi anaogopa,labda wabunge wa ccm,maana watafungiwa vikao vitatuWatumishi wa serikali ndio mnaogopa..hata mitandaoni ham comment chochote hata whatsapp hamjibu text kisa mnahisi mnafuatiliwahapo kibaya kipi kafanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
afu bado wakina mbowe na wahuni wenzake wanasema eti Tanzania hakuna uhuru wa kujieleza..nchi za wengine huyo idrisa saivi tungekua tushazika saa nyingi sana.