Unapo switch wifi on zitatokea available wifi hotspot Kwa Eneo ulipo then Kama zitakuwa hazina security uta connect bila tatizo, ila Kama zina security unahitaji kuwa Na password, Kama bado unapata tatizo ni pm namba yako nitakupigia nikupe maelekezo zaidi