Kuna askari somebody mahimbo kadi zake zimeokotwa.. Anatemjua ani pm
Kwanini usiwape polisi!
Kwanini usiwape polisi!
Kuna askari somebody mahimbo kadi zake zimeokotwa.. Anatemjua ani pm
huo ni mtego. leo watakuja kukukagua kwako kwa kosa la kuiba na kumpiga polisi hadi ukakimbia na nguo zake. mia
Mimi ni askari so kuwa na amani zipeleke sehemu usika na zitapokelewa bila shida
Ngoja nitazipiga picha niziweke hapa
bila hta chembe ya shaka wewe kweli ni askari wa tz kwan hta uandishi wako unasadifu na kudhibitisha hilo!