Wadau kuna mtu anahack gmail acc yangu, nimecheck IP address yake nikiitrace namuona mara nyingi yuko Dodoma and sometime abroad. Nimechange passworld several times lakini wapi jamaa anaingia tu. Sioni akifanya kitu chochote kibaya zaidi ya kusoma tu mail zangu. Naomba kama kuna mtu humu ndani anajua mambo haya please anisaidie jinsi ya kudeal nae.