Jitahidi pia kuwapelekea yatima, wazee wasiojiweza, wagonjwa waathirika wa UKIMWI, Malaria etc etc, waathirika wa mabomu, waathirika wa mafuriko, nina uhakika valentine yako itakuwa nzuri na ya kupendeza na utakuwa na furaaha na amani
Sikupingi kwenye kumfanyia mpenzio, nduguyo, rafikizo ila na hao usiowajua lakini wenye mahitaji wakipata na haya MUNGU atakubariki kama una imani
Mbarikiwe wote