Je, umeshaangalia ni wapi pa kuziwekeza, unaweza kuwa na fedha mashamba ikawa ni ishu.Wakuu kweli mtaji ni serious problem world wide.
Wadau hivi itakuwaje endapo vijana kama kumi mukaungana na kuamua kujitoa sadaka( risk taking) kwa pamoja na kuamua kila mmoja atoe 500,000/= ambapo itakuwa jumla 5,000,000/= then mujadili kuikeza kwenye kilimo kwa mazao yenye tija kwa sasa, siinaweza ikatosha kama mtaji, ikiwezekana mukipata profit munajipanua mpaka munamili mashamba ata sita ya kilimo kikubwa cha kisasa, ikiwezekana muendelee muwe hata kampuni au mumiliki compuni zenu.
Vijana serious kama hawa sijui nitawapata wapi watu wangu wa karibu wote viazi tu
Naandika nikiwa naangalia interview ya mtu mmoja hivi, ambaye alikuwa wa muhimu sana humu jamvini kutoa ushauri.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
kwa hiyo idea yako ni mfu. maana hata shamba huna na huenda hata hujui wapi pa kulipataMawazo kama haya ndiyo ninayo yataka, unaweza kuniambia laki tano inatosha vipi nikwa ninaishi mjini sina ata shamba
Hapana pakulipata napajua ni 600k ekari moja na nusu hivi sijashika sana mkoa wa pwani tatizo pesa idea unakuwa mfu endapo hakuna pesakwa hiyo idea yako ni mfu. maana hata shamba huna na huenda hata hujui wapi pa kulipata
Hawa ndio wanazaniaga mitaji inaanziaga milioni na kuendelea maisha ni msoto mkali wapo watu wanatembeza koni kwa mitaji ya elfu hamsiniWewe ndie haujaamua kufanya hicho kilimo unachokisema.badala ya kutafuta vijana10 wakajichanga 500000 kila mmoja,kwanini usichukue hiyo 500000 utakayochanga na wenzako ukaiwekeza kwenye kilimo wewe kama wewe sababu hii hela inatosha sana kwa mtaji wa kuanzia! Changamka kijana acha kukaa kuwaza nyanyuka ukafanye kwa vitendo unachowaza!
[emoji122][emoji122][emoji122]Anza na mradi mdogo tu ndugu utakao weza chukua watu watano tu... Mana watu kumi kukaa pamoja sio jambo dogo
Hakuna biashara ya hivi mkuu ataenda pm hasisahau mrejeshoAnayehitaj anichek PM nimpe maelekezo ya kufanya biashara ndogo ya mtaji wa 30000/= ila return yke kwa mwez ni zaid ya 500000/= anafanyia kwenye location yake tu. Karibuni.
Kwann umewaza kuanza na kilimo?Asante je kwa watu watano ni sawa na M 2.5 inaweza tosha kwenye kilimo
Hakuna biashara ya hivi mkuu ataenda pm hasisahau mrejesho
Unazungumzia mtaji wa kilimo mkuuHawa ndio wanazaniaga mitaji inaanziaga milioni na kuendelea maisha ni msoto mkali wapo watu wanatembeza koni kwa mitaji ya elfu hamsini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hakuna biashara ya hivi mkuu ataenda pm hasisahau mrejesho
[emoji122] [emoji122]Kwann umewaza kuanza na kilimo?
Nakushauri anza na mradi mwingine ukusanye mtaji wa kutosha na elimu then ndio uingie kwenye kilimo,
Kilimo kina faida nzuri lkn pia kinahitaji sana hela.
PoaKitu km hujui usiseme hakipo...elimu ni pana sana dunian,
Wakuu kweli mtaji ni serious problem world wide.
Wadau hivi itakuwaje endapo vijana kama kumi mukaungana na kuamua kujitoa sadaka( risk taking) kwa pamoja na kuamua kila mmoja atoe 500,000/= ambapo itakuwa jumla 5,000,000/= then mujadili kuikeza kwenye kilimo kwa mazao yenye tija kwa sasa, siinaweza ikatosha kama mtaji, ikiwezekana mukipata profit munajipanua mpaka munamili mashamba ata sita ya kilimo kikubwa cha kisasa, ikiwezekana muendelee muwe hata kampuni au mumiliki compuni zenu.
Vijana serious kama hawa sijui nitawapata wapi watu wangu wa karibu wote viazi tu
Naandika nikiwa naangalia interview ya mtu mmoja hivi, ambaye alikuwa wa muhimu sana humu jamvini kutoa ushauri.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hello.. Wewe ulezi umelima wapi.. Kuna watu wanatafuta ulezi mwekundu.. Kwahiyo kama unao nitafute nikuunganishe.. Kilo 1300/=Mkuu laki tano n hela inatosha kabisa kuendeshea kilimo n kikakulipa.fanya kudhubutu katika kutekeleza mawazo yako ,achana na vitu vya kujiunga kwenye kundi l watu ndo mfanye kazi itakupa shida hasa katika usimamizi.mfano mm nimelima hect 2.5 za ulezi na imenighalim 400000 tu katk maandalizi,upandaji,na palizi hapo bado cost kwa ajiri ya harvest tu.and pia kilimo inatgemea n wap unataka kufanyia
Toa hiyo elimu humu jamvini mkuu kama hutojali.Anayehitaj anichek PM nimpe maelekezo ya kufanya biashara ndogo ya mtaji wa 30000/= ila return yke kwa mwez ni zaid ya 500000/= anafanyia kwenye location yake tu. Karibuni.
Jamaa chopa moting amenipa madini aina ya fedha, haya madini kila nikiya minimize naona pesa tu ngoja kwanza nikayachimbe nitawaretea mrejesho wakuu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Anayehitaj anichek PM nimpe maelekezo ya kufanya biashara ndogo ya mtaji wa 30000/= ila return yke kwa mwez ni zaid ya 500000/= anafanyia kwenye location yake tu. Karibuni.
Alicho nacho kichwani ndio idea yenyewe mkuu. Bila idea pia huwezi kufanya kitu kikatoa matunda mazuri.Unajadili Kilimo.ukwa wapi mkuu?
No one will trust your Idea Except you.
Yaani ukiona mtu ana saport wazo lako basi ogopa sana.
Kwa Idea yako ya Kilimo unapaswa kuanza na kile ulicho nacho mkononi mwako.
MUSA akiwa na wana wa Isaraeli aliulizwa na Mungu una nini MUSA?
MUSA akajibu nina fimbo, hivyo MUSA alikuwa na fimbo tu.
Sasa wewe una nini? usisema una Idea..Idea hata wanayama wana Idea achilia mbali binadamu.
Anza na kile ulicho nacho mkononi mwako.
Time is now, ukisema usobili sijiu watu waje kuchanga utasubili sana.
Anza na watu watakufuata wewe, watakutafuta wewe