Nadhani IDE haiwezi kukusaidia sana kufaulu interview kwani karibu zote zinafanana unachotakiwa kuwa nacho ni stadi ya kuhusianisha ili ukikutana na kitu kipya kwako iwe rahisi kutumia maarifa yako ya nyuma kukitumia
Nadhani kama unatumia notepad++ huwezi kushindwa kutumia sublime text au netbeans