Idd Azzan Kwaheri Kinondoni

Tatizo lenu watu mnao kaa pwani ni ulaji mbaya so hata lufikiri kwenu ni shiiida, wakati uchaguzi wa 2010 unafanyika nilidhani mta muondoa huyo mvurushi but mkamuacha. Wacheni kula kuku poa zip navuruga wezo wa kufikiri.

unajua kilichomfanya ashinde au unaoonge na nyie wa bara si mmekuja kuharibu xiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
 

Wewe ngedere unafikiri kinondoni studio,hananasif mtaa wa kisutu ndiyo sehemu za kinondoni tu kaa kimya kama hujui ngedere jike wewe
 
Kama UKAWA wakijipanga vizuri, JIMBO LA kinondoni wanalichukua mapemaa. Hata matokeo ya mwaka 2010 yanathibitisha huko.
 
Wewe ngedere unafikiri kinondoni studio,hananasif mtaa wa kisutu ndiyo sehemu za kinondoni tu kaa kimya kama hujui ngedere jike wewe

We mpumbavu hujui lolote usijipendekeze kwangu na viroba vyako nyani wewe idiot..
 
Acha uzushi wewe Kinondoni barabara mbovu zimejengwa chini ya Kiwango kuliko jimbo lolote Dar.

Huyo Mnyika wenu hata hiyo mbovu aliyojenga ni ipi?
Muwe na shukrani amejitahidi sana kuliko hao wengine maboya tu
 

Hakuna wilaya isiyokuwa na hivyo ulivyovitaja.
 
Naona baada ya boya Mtulia kubwaga manyanga, Azzan anapigiwa chapuo arudi tena, sijui kwa zuri gani?
 
Afadhali ya Peter Kabisa, alijitahidi sana upande wa afya, uboreshaji wa hospital ya mwananyamala, magomeni na sinza

Barabara ya kutoka Victoria kupitia kwa kopa naya mama Zakaria

Sayansi kijitonyama mpaka kwa mtogole
Kinondoni yote wakati huo ilikuwa maji kila siku yanatoka

Kwangu Peter Kabisa alilitendea haki jimbo la kinondoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…