IDD Amin Dada akiwasurubu wazungu



Naona kidogo Mgabe kafuatia.

Hakuna cha ajabu, mbona wao mawetusulubu sana tu na hadi leo wanatusulubu kwa mlango wa nyuma.
Wacha Mugabe atake kufuatia, Wazungu walifanya mabaya mno kule kwao. Kuna MwanaJF aliwahi leta picha za unyama wao humu, ukiziona utalia.

Ukweli ni kwamba Urafiki wa Wazungu na Waafrika ni wa MASHAKA, hauna tofauti na ule wa simba na swala.
 
Huyu jamaa ndo alivoukuwa....soma kitabu cha 'State of Blood' aliwadhalilisha sana wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…