Idara ya uhamihaji

BOADMAS

New Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Naelekeza lawama zangu Idara ya Uhamihaji, naona kadri siku zinavyozidi kwenda idadi ya WACHINA, WAHINDI inaongezeka nasikitisha na vitende hivi inapelekea nchi yetu inakuwa kama dampo na muhimi wa dora kazi zake kuu nini? Kama kweli taraatibu za kuiwaingiza wageni hazifuatwi. Matharani ingia kariakoo unafikiri wapo kibao wanamiliki kazi za wazawa.

NASHAURI MAMLAKA HUSIKA YAFUATAYO

1. Kama walipewa permit kuhishi nchi kwakutumia njia za ulaghai zifutwe na kupitia balozi zao wapewe masaa 24 tu kurudi kwao. Na permit request jamani inamtaka mlengwa aeleze kusudi lake la kuingi sasa mbona inakuwa tofauti au tuliowapa dhamana hawakizi vigezo naomba liwekwe wazi

2. Kufanya kazi za wazawa ni kuwanyima wazawa nafasi za kujiajili, hii inatisha sehemu mbalimbali ukuenda Arusha has merelani wapo kibao kazi kuu ni kuchimba madini lakini kwasasa wanakaba watu wanawaua vibarua serikali imekaa kimya

3. Wanaiba madini bila uchungu wowote. Sisi ndio wazawa idara husika zimekidhiri kwa hongo tunategemea kupata ufanisi kweli
 
huko UHAMIHAJI kaazi kwelikweli
 
Hahahahahhahahahahahahaha Charminglady,Lara1,C6,Madame B,hahahahahahaha JF tumevamiwa na akina Mulugo hahahahah
 
Nafikiri mimi ni mwalimu mzuri wa kiswahili eehh,maana huyo jina lake anamaanisha magazijuto


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…