Mkuu wapigaji wa ruzuku tu.kila kiongozi yupo bize kutunga operation.juzi imeanza operesheni matiti,,subiri baada ya pasaka utawasikia Bavicha na operesheni ingia ikulu 2015.hakuna tathmini wala research,ni kula hela kwenda mbeleKila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu
Mkuu, matokeo hutakiwi kupewa wewe kwasababu hujawatuma kuianzisha hiyo Opareshini wala hukuwa na A,B,C...juu ya hilo! Wapo wanaotathimini na kupewa matokeo sio wewe, nakusihi tulia, kaa nyuma ya kibodi yako uzungushe macho, WANAUME WAKO FIELD!!
Sipaswi kupewa matokeo sababu sio mimi niliowatuma kuanzisha hiyo operesheni? Daaah...nina mashaka sana na kiwango chako cha elimu.
Sipaswi kupewa matokeo sababu sio mimi niliowatuma kuanzisha hiyo operesheni? Daaah...nina mashaka sana na kiwango chako cha elimu.
Statistics ni figures ambazo kwa wengine hazieleweki. Tathmini mafanikio ya hizi operations kupitia chaguzi mbalimbali.
Nadhani mirejesho hii inaeleweka zaidi.
Utawaelewaje CDM endapo watatoa hiyo mirejesho lkn kwenye chaguzi wawe hoi?
Unafikiri kama operesheni hazina impacts wangefanya kila mara?
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!
Sipaswi kupewa matokeo sababu sio mimi niliowatuma kuanzisha hiyo operesheni? Daaah...nina mashaka sana na kiwango chako cha elimu.
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!
Kwa mafikirio yako unafikiri CDM huwa hawafanyi Tathmini.Kwa Upande wangu ninaamini kabla ya operesheni huwa wanakaa na kupanga na wakimaliza huwa wanafanya tathmini na kupeana mrejesho.Sifikirii kuwa kwa vile mie hawajanambia au hawajanipa mrejesho basi ndo niconclude kuwa huwa hawatoi mrejesho.Nina Imani mrejesho upo.Kama hatufanyi tathmini, tunatoa wapi ujasiri wa kusema kuwa base ya chadema imeongezeka sababu ya hizi operesheni? Naamini Chadema ina mikakati mingi ya kuongeza wanachama eg..mitandao ya kijamii, redio compaign, operesheni za kanda etc...Kwasababu tu wanachama wanaongezeka kila mwaka haimaanishi kuwa ni kwasababu ya hizo operesheni...kwanza..inawezekana kabisa isiwe na uhusiano wa mojakwamoja eg. Watu wanaweza kuhamia chadema tu kwasababu wamechoka CCM na si kwasababu ya hizo kampeni au sera nzuri za chadema...Anyway..naamini kama taasisi lazima mjue ni nyavu ipi ikitupwa ziwani inavua samaki wengi..
Kinana na Nappe wao wanatumia nini mkuu kuzunguka nchi nzima?
Mkuu wapigaji wa ruzuku tu.kila kiongozi yupo bize kutunga operation.juzi imeanza operesheni matiti,,subiri baada ya pasaka utawasikia Bavicha na operesheni ingia ikulu 2015.hakuna tathmini wala research,ni kula hela kwenda mbele
Safi sanaMkuu, matokeo hutakiwi kupewa wewe kwasababu hujawatuma kuianzisha hiyo Opareshini wala hukuwa na A,B,C...juu ya hilo! Wapo wanaotathimini na kupewa matokeo sio wewe, nakusihi tulia, kaa nyuma ya kibodi yako uzungushe macho, WANAUME WAKO FIELD!!
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!