Idara ya sanaa CHADEMA na Operation "Imba Ukombozi"

Idara ya sanaa CHADEMA na Operation "Imba Ukombozi"

Kila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu
Mkuu wapigaji wa ruzuku tu.kila kiongozi yupo bize kutunga operation.juzi imeanza operesheni matiti,,subiri baada ya pasaka utawasikia Bavicha na operesheni ingia ikulu 2015.hakuna tathmini wala research,ni kula hela kwenda mbele
 
Mkuu, matokeo hutakiwi kupewa wewe kwasababu hujawatuma kuianzisha hiyo Opareshini wala hukuwa na A,B,C...juu ya hilo! Wapo wanaotathimini na kupewa matokeo sio wewe, nakusihi tulia, kaa nyuma ya kibodi yako uzungushe macho, WANAUME WAKO FIELD!!

Sipaswi kupewa matokeo sababu sio mimi niliowatuma kuanzisha hiyo operesheni? Daaah...nina mashaka sana na kiwango chako cha elimu.
 
Sipaswi kupewa matokeo sababu sio mimi niliowatuma kuanzisha hiyo operesheni? Daaah...nina mashaka sana na kiwango chako cha elimu.

Nakubaliana na uhamasishaji wa vijana kupiga kura kupitia chama chochote kwani wao ndiyo wengi na tegemeo la nchi. Tumeshuhudia kwa muda mrefu vijana kutojitokeza kuandikisha kupiga kura, wazee na akina mama wamekuwa mstari wa mbele. Tunahitaji kuona mabadiliko kwa vijana katika kuwaza na kutenda kwao, hatutarajii kuwaona wakiwa ni walalamikaji na wanung'unikaji wakati wao ndio wanaopaswa kuwaajiri watawala.
 
Statistics ni figures ambazo kwa wengine hazieleweki. Tathmini mafanikio ya hizi operations kupitia chaguzi mbalimbali.
Nadhani mirejesho hii inaeleweka zaidi.
Utawaelewaje CDM endapo watatoa hiyo mirejesho lkn kwenye chaguzi wawe hoi?

Nataka kukueleza kitu i hope utanielewa..naamini chadema ina mikakati mingi (tofauti) ya kuongeza base ya wanachamawake...eg kupitia hizo operesheni, kutumia mitandao ya kijamii, kuwa vocal bungeni, door to door, documentaries etc.
mwisho wa siku mnapaswa kufanya assessment kujua approach ipi ilikuwa effective na ipi haikuzaa matunda kama mlivyotarajia...alafu baada ya hapo mnaachana na zile ineffective mnabaki na zile effective...
Kwa sasa mmepata viti vingi serikali ya mitaa lakini hamjui ni approach ipi ambayo imewafikisha hapo....matokeoyake, come october 2015 mtaanza kusukuma gears zote blindly wakati mngeweza kabisa ku focus kwenye specific approach na mkala vichwa zaidi..
 
Unafikiri kama operesheni hazina impacts wangefanya kila mara?

Kama hatufanyi tathmini, tunatoa wapi ujasiri wa kusema kuwa base ya chadema imeongezeka sababu ya hizi operesheni? Naamini Chadema ina mikakati mingi ya kuongeza wanachama eg..mitandao ya kijamii, redio compaign, operesheni za kanda etc...
Kwasababu tu wanachama wanaongezeka kila mwaka haimaanishi kuwa ni kwasababu ya hizo operesheni...kwanza..inawezekana kabisa isiwe na uhusiano wa mojakwamoja eg. Watu wanaweza kuhamia chadema tu kwasababu wamechoka CCM na si kwasababu ya hizo kampeni au sera nzuri za chadema...
Anyway..naamini kama taasisi lazima mjue ni nyavu ipi ikitupwa ziwani inavua samaki wengi..
 
Sipaswi kupewa matokeo sababu sio mimi niliowatuma kuanzisha hiyo operesheni? Daaah...nina mashaka sana na kiwango chako cha elimu.


Mkuu, elimu yangu ni KATA, ila nakuzidi uelewa wewe mwenye PHD!! Kwahiyo unategemea kila baada ya Operation CDM wakutangazie kwenye magazeti na TVs kwamaba tumefanikiwa 20% ya matarajio!!?? Hizo ni akiri ni tope? Elimu yako kubwa ingekusaidia kunielewa nilipokuambia kwamba, CDM wapo wanaoprogram na kuzifanyia tathimini hizo Operations!! Think big..hiyo elimu yako kubwa haijakusaidia Mkuu!!
 
CHADEMA chama cha Ukombozi pigeni kazi wananchi ndo nyinyi na nyinyi ni wananchi, maji na samaki style
 
Hii Nimeipenda Zaidi Ya Maelezo, Hii Kitu Ebu Jalibuni Kuzunguka Maeneo Sugu, Kama Tunduma Hata Msipofanya Kampeni,awam Hii Tunataka Tumrahishie Kazi Docta, Yaani Anachukua Nchi Kama Ananawa Vile, Alafu Watupe Yule Mzee Wa Mvi Ndio Tumpige Vizuri.
 
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!

Kwani kazi ya ruzuku ni nini? Hivi wewe ni msukule wa ccm au act? Au kuna uhusiano UPI uliopo kati ya act na ccm? majibu tafadhali na si mapovu
 
Kama hatufanyi tathmini, tunatoa wapi ujasiri wa kusema kuwa base ya chadema imeongezeka sababu ya hizi operesheni? Naamini Chadema ina mikakati mingi ya kuongeza wanachama eg..mitandao ya kijamii, redio compaign, operesheni za kanda etc...Kwasababu tu wanachama wanaongezeka kila mwaka haimaanishi kuwa ni kwasababu ya hizo operesheni...kwanza..inawezekana kabisa isiwe na uhusiano wa mojakwamoja eg. Watu wanaweza kuhamia chadema tu kwasababu wamechoka CCM na si kwasababu ya hizo kampeni au sera nzuri za chadema...Anyway..naamini kama taasisi lazima mjue ni nyavu ipi ikitupwa ziwani inavua samaki wengi..
Kwa mafikirio yako unafikiri CDM huwa hawafanyi Tathmini.Kwa Upande wangu ninaamini kabla ya operesheni huwa wanakaa na kupanga na wakimaliza huwa wanafanya tathmini na kupeana mrejesho.Sifikirii kuwa kwa vile mie hawajanambia au hawajanipa mrejesho basi ndo niconclude kuwa huwa hawatoi mrejesho.Nina Imani mrejesho upo.
 
makamanda twendeni tukakomboe nchi ya mkoloni mweusi, Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Mkuu wapigaji wa ruzuku tu.kila kiongozi yupo bize kutunga operation.juzi imeanza operesheni matiti,,subiri baada ya pasaka utawasikia Bavicha na operesheni ingia ikulu 2015.hakuna tathmini wala research,ni kula hela kwenda mbele

Ruzuku ya cdm inakuhusu nini wewe gamba?
 
Mkuu, matokeo hutakiwi kupewa wewe kwasababu hujawatuma kuianzisha hiyo Opareshini wala hukuwa na A,B,C...juu ya hilo! Wapo wanaotathimini na kupewa matokeo sio wewe, nakusihi tulia, kaa nyuma ya kibodi yako uzungushe macho, WANAUME WAKO FIELD!!
Safi sana
 
Linda fuso yako, record matukio yote unayofanya kwa kufunga VEHICLE CAMERA, na matukio yatakuwa yanarecordiwa makao Makuu ya Chama. Bei ni nafuu , just PM or contact rvss1202@gmail.com
 
Back
Top Bottom