obama sererea
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 101
- 37
ccm haitaweza kuzima hii kiu ya mabadiliko ninayoonaidara ya sanaa chadema makao makuu inakuretea operation imba ukombozi kanda ya nyanda za juu kusini.
Tarehe 05/04 njombe
tarehe 08/04 makamako
mkoa wa mbeya:.......tarehe 10/4/2015 mbeya mjin viwanja vya uyole....
11/4/2015..mbarizi mjini...
12/4/2015...mji wa umalila....
13/4/2015....mji wa ndaga na ntokela...
14/4/2015....mji wa kiwira
15/4/2015....mjin tukuyu....
16/4/2015....mji wa ushirika mpuguso..........jimbo la kyela.....
17/4/2015...njisi saa 6-8 na 9-12 jion boda......
18/4/2015....matema saa 6-8 na 10-12 ipinda.....mbozi..
20/4/2015...mji wa mlowo.......
21/4/2015......mji wa vwawa.......
23-24/04/2015 songea.
Lengo la ziara hii ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwa ajiri ya uchaguzi mkuu na wasanii wote kuanza kuimba nyimbo za ukombozi.
Kuwaweka watanzania tayari kwa mabadiliko makubwa mwaka huu.
Operation hii tutatumia chopa ya ya aridhini (fuso)
imetolewa na idara ya sanaa chadema taifa.
Kila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu
Kila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!
Mkuu kwa iyo unataka irudi enzi za vyama vya MSIMU?

Statistics ni figures ambazo kwa wengine hazieleweki. Tathmini mafanikio ya hizi operations kupitia chaguzi mbalimbali.Not at all...hiyo idea ni nzuri lakini pia lazima wanachama wapewe mirejesho ya effectiveness ya hizi operesheni...kwa mfano...operesheni ikifungwa mnapaswa kutoa statistics kwamba mmefanikiwa ku source wanachama wapya 2,000 kwa mfano..kati ya hao, asilimia 30 walikuwa CCM, asilimia 10 walikuwa ACT na asilimia 10 walikuwa hawana chama....huo ni mfano tu wa mrejesho
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!