Idara ya sanaa CHADEMA na Operation "Imba Ukombozi"

Idara ya sanaa CHADEMA na Operation "Imba Ukombozi"

obama sererea

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
101
Reaction score
37
Idara ya sanaa Chadema makao makuu inakuretea operation imba ukombozi kanda ya nyanda za juu kusini.

Tarehe 05/04 Njombe

Tarehe 08/04 Makamako

MKOA WA MBEYA:.......TAREHE 10/4/2015 mbeya mjin viwanja vya uyole....
11/4/2015..mbarizi mjini...

12/4/2015...MJI WA UMALILA....

13/4/2015....MJI WA NDAGA NA NTOKELA...

14/4/2015....mji wa kiwira

15/4/2015....MJIN TUKUYU....

16/4/2015....MJI WA USHIRIKA MPUGUSO..........JIMBO LA KYELA.....

17/4/2015...Njisi saa 6-8 na 9-12 jion BODA......
18/4/2015....MATEMA saa 6-8 na 10-12 IPINDA.....MBOZI..

20/4/2015...MJI WA MLOWO.......

21/4/2015......MJI WA VWAWA.......

23-24/04/2015 Songea.

Lengo la ziara hii ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwa ajiri ya uchaguzi mkuu na wasanii wote kuanza kuimba nyimbo za ukombozi.

Kuwaweka watanzania tayari kwa mabadiliko makubwa mwaka huu.

OPERATION HII TUTATUMIA CHOPA YA YA ARIDHINI (FUSO)

Imetolewa na idara ya sanaa chadema Taifa.
 
idara ya sanaa chadema makao makuu inakuretea operation imba ukombozi kanda ya nyanda za juu kusini.

Tarehe 05/04 njombe

tarehe 08/04 makamako

mkoa wa mbeya:.......tarehe 10/4/2015 mbeya mjin viwanja vya uyole....
11/4/2015..mbarizi mjini...

12/4/2015...mji wa umalila....

13/4/2015....mji wa ndaga na ntokela...

14/4/2015....mji wa kiwira

15/4/2015....mjin tukuyu....

16/4/2015....mji wa ushirika mpuguso..........jimbo la kyela.....

17/4/2015...njisi saa 6-8 na 9-12 jion boda......
18/4/2015....matema saa 6-8 na 10-12 ipinda.....mbozi..

20/4/2015...mji wa mlowo.......

21/4/2015......mji wa vwawa.......

23-24/04/2015 songea.

Lengo la ziara hii ni kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwa ajiri ya uchaguzi mkuu na wasanii wote kuanza kuimba nyimbo za ukombozi.

Kuwaweka watanzania tayari kwa mabadiliko makubwa mwaka huu.

Operation hii tutatumia chopa ya ya aridhini (fuso)

imetolewa na idara ya sanaa chadema taifa.
ccm haitaweza kuzima hii kiu ya mabadiliko ninayoona
 
Kila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu
 
Ama kweli vijana mumejipanga na kupangika mwaka huu sijui
 
Mbio za panya naziona hapa,kiumbe kikikaribia kufa hutapatapa sana.
 
Chadema ni chama cha msimu by Profesa tezi in 2010. Sasa operation kila bada ya wiki 2 mnaanza kuomba poo!
 
Hapa ruzuku zinatafunwa tu, hakuna cha operesheni wala nini!
 
Jambo muhimu kabisa kuwaambia vijana ni kuwa wadamke asubuhi na mapema, yaani asubuhi sana ili wazee wa fisiem wakija wakute foleni ishawashinda.

Lengo la hii tactic ni kukabiliana na deadline za tume.
 
Mkuu kwa iyo unataka irudi enzi za vyama vya MSIMU?

Not at all...hiyo idea ni nzuri lakini pia lazima wanachama wapewe mirejesho ya effectiveness ya hizi operesheni...kwa mfano...operesheni ikifungwa mnapaswa kutoa statistics kwamba mmefanikiwa ku source wanachama wapya 2,000 kwa mfano..kati ya hao, asilimia 30 walikuwa CCM, asilimia 10 walikuwa ACT na asilimia 10 walikuwa hawana chama....huo ni mfano tu wa mrejesho
 
Matokeo yalisomwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia sanduku la kura.
Matokeo mengine yatasomwa Oktoba 2015.
Kila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu
 
Kila siku operesheni mpya...muwe mnatupa mtokeo yake pia isije kuwa mnapoteza muda tu

Mkuu, matokeo hutakiwi kupewa wewe kwasababu hujawatuma kuianzisha hiyo Opareshini wala hukuwa na A,B,C...juu ya hilo! Wapo wanaotathimini na kupewa matokeo sio wewe, nakusihi tulia, kaa nyuma ya kibodi yako uzungushe macho, WANAUME WAKO FIELD!!
 
Not at all...hiyo idea ni nzuri lakini pia lazima wanachama wapewe mirejesho ya effectiveness ya hizi operesheni...kwa mfano...operesheni ikifungwa mnapaswa kutoa statistics kwamba mmefanikiwa ku source wanachama wapya 2,000 kwa mfano..kati ya hao, asilimia 30 walikuwa CCM, asilimia 10 walikuwa ACT na asilimia 10 walikuwa hawana chama....huo ni mfano tu wa mrejesho
Statistics ni figures ambazo kwa wengine hazieleweki. Tathmini mafanikio ya hizi operations kupitia chaguzi mbalimbali.
Nadhani mirejesho hii inaeleweka zaidi.
Utawaelewaje CDM endapo watatoa hiyo mirejesho lkn kwenye chaguzi wawe hoi?
 
Back
Top Bottom