Idara ya maji Arusha muwe na adabu

Idara ya maji Arusha muwe na adabu

Baharia arusha mitaa gani hiyo,mana mtaani kwangu maji yapo
Leo zaidi ya wiki jiji la Arusha hatuna maji sijui mnahisi tutaishije,nasikia ni mpaka mwezi wa kumi,mmetuona sie ni ngamia au? Na bili za maji zinasoma kama kawaida.

Acheni uzamani bwana muwe mnakua, au mpaka tubebe ndoo tuje hapo idarani?
 
wapigie simu waeleze,,siku hiyohiyo maji yatatoka,,,
 
Mkuu speak for yourself, maji mimi nilipo hayajawahi kukatika hata siku moja sio kwa mwezi huu ama uliopita
 
Ngoja tuone mabilionea wanavyo ji mwambafy kuonesha mitaa yao maji hayakatiki
 
Wee jamaa acha uchonganishi na kujenelize mambo, huku mushono yapo, na kijenge yapo . utakuwa umetumwa na lema
 
Leo zaidi ya wiki jiji la Arusha hatuna maji sijui mnahisi tutaishije,nasikia ni mpaka mwezi wa kumi,mmetuona sie ni ngamia au? Na bili za maji zinasoma kama kawaida.

Acheni uzamani bwana muwe mnakua, au mpaka tubebe ndoo tuje hapo idarani?

Aiseee ni kweliii
 
Huku kwenu USA river yanatoka maziwa kabisaa...24 hours!! Acha serikali ifanye kazi kijana
 
Back
Top Bottom