Idadi ya juu ya vyuo vya kuomba ni ngapi?

Idadi ya juu ya vyuo vya kuomba ni ngapi?

Yusuph Wernery

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
316
Reaction score
147
Hello wadau, Tafadhali mwenye ufahamu na uombaji wa vyuo mwaka huu wa masomo 2017/2018. Hivi maximum ni vyuo vingapi vya kuomba, au ni kutupia tu kadri uwezavyo..... Tafadhali majibu yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom