Gogle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,495
- 867
Habari wakuu,
Kuna research nafanya, kwa heshima kabisa naomba kujuzwa idadi ya binadamu waliowahi kuwa mawaziri na manaibu waziri katika uongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne iliyoanza oktoba 2005 hadi novemba 2015, ili niweze kujazia katika research yangu.
Au kama kuna link itakayonipa taarifa hizo naomba Iwekwe hapa.
Asanteni sana.