zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Jul 26, 2020 #1 Shule za Primary na Sekondari huwa zina wanafunzi wengi wa kiume kuliko wa kike lakini Vyuoni kuna wanafunzi wengi wa kike kuliko wa kiume ni sawa au?
Shule za Primary na Sekondari huwa zina wanafunzi wengi wa kiume kuliko wa kike lakini Vyuoni kuna wanafunzi wengi wa kike kuliko wa kiume ni sawa au?
Lillie Mie Member Joined Jul 2, 2020 Posts 97 Reaction score 176 Jul 26, 2020 #2 Nadhani shule za sekondari na za msingi zina idadi kubwa ya wasichana kuliko wavulana.Na vyuo vikuu wavulana ndio wengi.
Nadhani shule za sekondari na za msingi zina idadi kubwa ya wasichana kuliko wavulana.Na vyuo vikuu wavulana ndio wengi.
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jul 26, 2020 #3 Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu. Maisha tu haya😩😩😩😥
Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu. Maisha tu haya😩😩😩😥
zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Jul 26, 2020 Thread starter #4 Lily Mahaba said: Nadhani shule za sekondari na za msingi zina idadi kubwa ya wasichana kuliko wavulana.Na vyuo vikuu wavulana ndio wengi. Click to expand... Ila kwa shule ambazo nimesoma mm wavulana tulikuwa wengi kuliko wasichana
Lily Mahaba said: Nadhani shule za sekondari na za msingi zina idadi kubwa ya wasichana kuliko wavulana.Na vyuo vikuu wavulana ndio wengi. Click to expand... Ila kwa shule ambazo nimesoma mm wavulana tulikuwa wengi kuliko wasichana
zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Jul 26, 2020 Thread starter #5 Drone Camera said: Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu. Maisha tu haya Click to expand... Sikuwahi kupenda msichana nikiwa shule kwasababu wote niliona ni wazuri nikashindwa kuchagua
Drone Camera said: Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu. Maisha tu haya Click to expand... Sikuwahi kupenda msichana nikiwa shule kwasababu wote niliona ni wazuri nikashindwa kuchagua
Lillie Mie Member Joined Jul 2, 2020 Posts 97 Reaction score 176 Jul 26, 2020 #6 Drone Camera said: Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu. Maisha tu haya😩😩😩😥 Click to expand... Pole Sana.
Drone Camera said: Shule ya msingi na sekondari tuligombania wasichana ila chuoni wenzangu wakagombaniwa mimi napitwa tu. Maisha tu haya😩😩😩😥 Click to expand... Pole Sana.
zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Jul 26, 2020 Thread starter #7 Lily Mahaba said: Pole Sana. Click to expand... Love jus happens and its unpredictable bana asijali in real life atakuwa sawa
Lily Mahaba said: Pole Sana. Click to expand... Love jus happens and its unpredictable bana asijali in real life atakuwa sawa
zagarinojo JF-Expert Member Joined Jul 26, 2020 Posts 2,622 Reaction score 2,855 Jul 26, 2020 Thread starter #8 Mla Bata said: Aiseeee! Let's meet at the top, cheers Click to expand... Nn tena Mla Bata
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,936 Jul 26, 2020 #9 zagarinojo said: Shule za primary na sekondari huwa zina wanafunzi wengi wa kiume kuliko wa kike lakini vyuoni kuna wanafunzi wengi wa kike kuliko wa kiume ni sawa au? Click to expand... Ni kweli kwasababu 1. Vyuo ni vichache ukilinganisha na idadi ya Vyuo. 2. Wanaoomba kuingia vyuoni hutokea maeneo mengi zaidi. Wapo wafanyakazi pia, waliotokea Vyuo vya kati n.k.
zagarinojo said: Shule za primary na sekondari huwa zina wanafunzi wengi wa kiume kuliko wa kike lakini vyuoni kuna wanafunzi wengi wa kike kuliko wa kiume ni sawa au? Click to expand... Ni kweli kwasababu 1. Vyuo ni vichache ukilinganisha na idadi ya Vyuo. 2. Wanaoomba kuingia vyuoni hutokea maeneo mengi zaidi. Wapo wafanyakazi pia, waliotokea Vyuo vya kati n.k.
manonawire JF-Expert Member Joined Dec 31, 2017 Posts 943 Reaction score 1,227 Jul 26, 2020 #10 Njoo hapa mbeya university ke n chache na me n nyngi mno yan kama secondary
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,333 Jul 27, 2020 #11 Hivi kumbe nimezeeka?Sioni la kuchangia nawaza sukari na ada za "girls and boy scouts" wangu hapa.
LWITTER 2010 Member Joined Jun 18, 2020 Posts 24 Reaction score 16 Jul 27, 2020 #12 Kwa primary na secondary wanafunzi wa like ni wengi sana kuliko wa kiume.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,297 Aug 3, 2020 #13 Duuuuuh hatareeeeh sanaaah Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app