da hili wazo zuri saaaana maana aisee watu wanaotoka hata kwenye tuvyuo twa uswazi na MSWord, Power Point na Excell pamoja na kujua kucheza game moja ya Need For speed na karata zile kwenye computer utaskia wanajisifia mtaani eti ni IT proffesionals..jamani hii bodi ni muhimu sana aisee.....
Let the Market decide. Hapa serikali inapaswa kukaa pembeni iangalie tu sheria zake hazivunjwi basi! Makampuni ya IT ndi yawe na cerification na hizo zimtambulishe mtu mtaani. Else itakuwa ukiritimba!
Wazo zuri ila Jangakuu kafafanua vizuri kuna vishoka wengi wa IT na wana ajira nzuri! lakini ni kwakuwa hakuna mpangilio wa analysis ili kujua who is who!Google walikuja hapa kufungua center lakini waliopo kwenye mamlaka ya mawasiliano wakasua sua mwisho jamaa wakaishia kenya wamekuja juzi tu!ndo maana unaona tafsiri ya google ni ya kikenye utasikia "Wavuti"hakuna kitu kama hiki ni "Tovuti"lakini kam wangeanzia hapa ungekuta kiswahili cha goole ni kizuri lakini hivi vyote ni urasimu wa mamlaka husika!
Nail on head! Let the market decide. Kama mtu anajua Word na Excel akajiita IT na wewe mtumiaji ukahitaji u-"IT" wake huo let it be!Pia sioni haja kwa kuwa kuna standards na certifications kibao tayari, so kama mtu anayeona anahitaji project yake ifanywe kwa kufuata standard au technology fulani yuko huru kuwatafuta watu walio certified kwenye standard/tech hiyo.
Ukandarasi ni kitu nyingine. Hapa tunaongelea msimamizi wa profession kama ilivyo kwa ERB na sio CRB!Mbona siyo hivyo kwa makandarasi?
Tunaharibu? Ujue ikiwepo hiyo bodi wakapitisha darasa la saba failure aliyesoma VETA wakakuacha wewe watakuwa wamekuua. Lakini kama cerification infanywa na CISCO na wakaleta zengwe bado unaweza fanya na Kampuni nyingine ukawa still Marketable. Kama hauko ktk hii fileld ni vigumu sana kunielewa. Cha msingi ujue kuwa IT ni fani inahitaji freedom kuliko Udaktari au Ujenzi!Nyie ndio tunaowapinga. Mnaharibu image ya ICT. Watu wabovu wanabebana na kupeana kazi, halafu ikiharibika utasikia hakuna wataalamu wa IT Bongo, wakati wenye uwezo wanaminywa vilaza ndio wanaopewa nafasi .
Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo itambulike kisheria na iwe na power kumandate professionals wa ICT na kupima sylabus zetu
Labda utuambie hiyo board unatarajia ifanye nini na kwa kufanya hivyo itasaidia nini?Currently kwenye ICT world kuna a very big issue ya breach of ethics, ethics ziko bound kwa professionals not any smartass with a pc, we need a board ya kufatilia mambo kama hayo, Issue ya certifications hakuna alokataza zitabaki kuwepo, lakini certifications ziko very vendor based in a way, but having standards za kuguide professional conduct in general is very important, Mzee kila mtu anaeza akaandika makala na kupublish but we still have professinal journalist wanaozingatia miiko na ethical codes za hiyo fani/....:yo:
Currently kwenye ICT world kuna a very big issue ya breach of ethics, ethics ziko bound kwa professionals not any smartass with a pc, we need a board ya kufatilia mambo kama hayo, Issue ya certifications hakuna alokataza zitabaki kuwepo, lakini certifications ziko very vendor based in a way, but having standards za kuguide professional conduct in general is very important, Mzee kila mtu anaeza akaandika makala na kupublish but we still have professinal journalist wanaozingatia miiko na ethical codes za hiyo fani/....:yo:
Lazima kuwe na regulations mambo hayawezi enda holela kama unavyofikiri wewe. Hao uliwataja kwenye mifano yako walifuata standards ambazo zilishawekwa na mataifa yao.
Mimi naunga mkono Standards, lakini ziamuliwe na wadau na iwe hiyari. Mfano Google ameanzisha android akastruggle kupata uungwaji mkono na sasa wanaweza wakaweka standards kwa developers wote wa android. Au PSF walivyofanya kwa Python, Oracle, MS, et al. Huu Ukiritimba HATUUTAKI.Embu tusaidie ni standard zipi hizo? Na ziliidhinishwa na board ipi ya ICT marekani kabla kuruhusiwa kufanya kazi?
Tuache kuropoka tu jamani, kama wewe ni Professional basi wewe ni professional hauwezi ukaumizwa kichwa na utumbo anaofanya mtu mwengine. Mnakaribisha unyonyaji kwenye fani yetu HATUTAKI!!!
Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo itambulike kisheria na iwe na power kumandate professionals wa ICT na kupima sylabus zetu