icloud kwenye iphone 4

icloud kwenye iphone 4

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Msaada wakuu nimeuziwa iphone ina icloud nitawezaje kuifungua?
Natanguliza shukrani
 
Msaada wakuu nimeuziwa iphone ina icloud nitawezaje kuifungua?
Natanguliza shukrani
  • Wasiliana na aliyekuuzia akupatie japo email tu iliyotumika iCloud, Bila ya hiyo haitowezekana.
 
kuna jamaa kaniambia ananifanikishia ilo swala ebu wait tuone kama atafanikisha il a akifanikisha nitawajulisha
 
Back
Top Bottom