Icheck hii picha up-side-down

Dahhh...Baada ya kuichek upside down, nilivyo resume ya mwanzo imenichukua kama dakika 2 kumpta mzee wa mwanzo....Fantastic
 
B4 six beer aliona kibiki kizee! Aftr 6 beer kaona kigoli! Kwel ulev nouma.
 
Ila kweli pombe ni noma, yaani kabla ya bia 6 ni kikongwe, akishapandisha bia 6 anajiona ni mrembo/queen
 
mara ya kwanza kuiona hii ilikuwa 2002,
aisee umenikumbusha mbali, nilikuwa nawafanyia watu waone kama mazingaombwe bibi kuwa kijana.
daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…