Wanamuonea tu.Kuna tofauti gani kati yake na Trump anavyowaua wauzaji na wasafirishaji wa drugs wa Venezuela.Anawaua mara kwa mara kwa kuwalipua na maboti yao.
ICC imewekwa kwa maslahi ya mabeberu.Hakuna kiongozi wa Nchi kubwa atapelekwa kwenye hiyo korti.