Akome...MANILA, Ufilipino
MAHAKAA ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) itaendelea kumshikilia Rais wa zamani wa Ufilino, Rodrigo Duterte, baada ya ombi lake kugonga mwamba.
Duterte amekuwa kizuizini akikabiliwa na mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa operesheni zake za kukabiliana na dawa za kulevya nchini kwake.
Akiwa rais, utawala wake unatajwa kuua watu wengi katika operesheni za kusaka wafanyabiashara wa dawa kulevya kuanzia mwaka 2016 hadi 2022.
Alikamatwa Machi, 2025, na kisha kupelekwa Uholanzi, ambako ndiyo yaliko Makao Makuu ya ICC.
Hivi karibuni, mwanasiasa huyo aliiomba ICC imwachie kwa muda ili ashughulikie kile alichokitaja kuwa ni changamoto za afya.
Hata hivyo, kwa mujibu wa wanasheria wake, afya ya Duterte imezorota kwa kipindi alichowekwa kizuizini.
Raisi hawezi kushtakiwa ICCNawaza tu hapa siku na mama nani yule naye akipelekwa, sijui nitakuwa na furaha kiasi gani!
Rais gani tena huyo! Mimi nimemtaja Mama nani sijui yule wa mtaani kwangu! Hata jina lake tu silifahamu kwa undani.Raisi hawezi kushtakiwa ICC
Sisi watu wazima tunajua umepigaje apoRais gani tena huyo! Mimi nimemtaja Mama nani sijui yule wa mtaani kwangu! Hata jina lake tu silifahamu kwa undani.
Kwani tanzania tuna rais, hakuna uchaguzi uliofanyika.Rais gani tena huyo! Mimi nimemtaja Mama nani sijui yule wa mtaani kwangu! Hata jina lake tu silifahamu kwa undani.
So Putin sio rais angalia hii bitchRaisi hawezi kushtakiwa ICC
Alikabiriana na dawa za kulevya kweli au alitaka kuondoa upinzani sokoni ili auze peke yake na genge lake?Duterte amekuwa kizuizini akikabiliwa na mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa operesheni zake za kukabiliana na dawa za kulevya nchini kwake.
It is coming also here hereDuterte alikuaga anajiamini balaa, kujifanya mzalendo kupitiliza...mpaka kwenda extra mile, nje ya utaratibu wa kisheria...Aliowapambania haohao walimkamata.
Huyo dutere yuko peke yake?Kama Mungu ametenda kwa Dutete, na hapa atatenda
Malipo ni hapa hapa dunianiAlikamatwa Machi, 2025, na kisha kupelekwa Uholanzi, ambako ndiyo yaliko Makao Makuu ya ICC.
Ndo maana hawezi kukamatwa pamoja na netenyauSo Putin sio rais angalia hii bitch