Aksante sana kiongozi, Unajua nini kiongozi wangu GIUSSEPE, hawa jamaa wa TAYOA pia kwangu wanazingua hawafunguki kabisa aisee sijui nakosea nini. Ijapokuwa kunakipindi web yao ilizingua sana sasa toka kipindi hicho.