Sheria za dini ya kiislam haziruhusu mwanaume kukaa bila mke hata sekunde.Aliyefiwa mke ana ruhusa ya kwenda kutafuta mke wa kufunga naye ndoa na akafunga naye ndoa kisha akarudi na mke mpya kuja kuzika mkewe.
Hii siyo kamba nilipewa na shekhe mmoja hivi alikuwa staffmate mwenzangu.