Ukiona kimya ujue maswali yako hayana mashiko!
Ni kebo zipi unazoulizia? Za power, za vga ama? Wewe ukichungulia kwenye hiyo monitor unaona hayo "matundu" yanatofautiana na monitor uliyokuwa unatumia zamani? Wakati mnauziana hamjafanya "testing"?
Chukulia kama unanunua simu ya mkononi ni vitu gani ungependa kuconfirm kwanza kabla ya kulipa?