Ibilisi wa mtu

Huyu ndiye alimlaghai HAWA na Hawa akalihamishia soo kwa Adam??? Abondwe kichwa aonekanapo....
 
Kama Adam na Hawa wangekuwa Wachina wangemla nyoka badala ya tunda...na wote tungekuwa paradiso sa hizi..teh teh teh
 
Kama Adam na Hawa wangekuwa Wachina wangemla nyoka badala ya tunda...na wote tungekuwa paradiso sa hizi..teh teh teh

Hivi Adam na Hawa walikula tunda gani kama sio kugegedana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…