IBEC COMISSIoNER RESIGN

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,132
6,100
BREAKING: Roselyn Akombe resigns as IEBC commissioner; says election as planned "cannot meet basic expectations of a credible election".
FB_IMG_1508296808305.jpg

source NTV Kenya
 
Amekimbilia Marekani kwa kuhofia maisha yake
Huu anaishi Marekani wakati wote.Kenya anaenda tu kwa kazi za IEBC kisha anarudi Marekani.

Naona ametumia nafasi hii sasa kuiombea familia yake nzima ukimbizi Marekani, mambo ya kuchangamkia fursa hayo.
 
hahahhaaa. mkuu umeona mbali.
 
Ikumbukwe tukio la kuuwawa kwa mtaalam wa IT bado lipo kwenye kumbukumbu zao.

Huu uchaguzi wa Kenya safari hii utaleta changamoto sana kwenye tasnia ya sheria na katiba, kuna mengi ya kujifunza.

Kubwa, kusitokee fujo na mauaji zaidi baina ya wananchi, uchumi na harakati za kila siku zinaathiriwa sana kwa machafuko.
 
NASA wapo juu ni kama misimamo ya Jubilee ina yeyuka kama barafu. Jana tu Makamu wa Rais Ruto alikubali kwamba hana shida na kufanyia mageuzi tume ya Uchaguzi ya nchini kenya. Na hili ni pigo kubwa sana kwa watawala.
 
Ndio maana hawataki hapa bongo kubadili katiba wanaona yale mamlaka ya kimungu walo nayo yataisha.
 
Back
Top Bottom